Watch

FROM UNEXPECTED PAIN TO DIVINE HEALING | TESTIMONY

2024-08-22

Message Description:
FROM A STRANGE PAIN TO DIVINE HEALING Mrs Anastazia Patrick shares a powerful testimony whereby she found a dove at her business place, which seemed like an unusual event. The following day, she began experiencing unusual swelling in her leg, Her husband told her to visit the hospital for tests but the tests revealed no clear cause for her symptoms. She took a step of faith and registered on the sick prayer line where Jesus Servant prayed for her and she experienced a miraculous turnaround. Her leg was healed, and the swelling completely subsided. As you are reading this, may you also experience a miraculous healing in the name of Jesus! ________________________________ KUTOKA KWENYE MAUMIVU YA AJABU HADI UPONYAJI WA KIMIUJIZA Bi. Anastazia Patrick anatoa ushuhuda wenye nguvu ambapo aliona njiwa katika eneo lake la biashara, jambo lililoonekana kama tukio la kushangaza. Siku iliyofuata, alianza kuhisi maumivu ya mguu ambao ulipelekea kuwa na uvimbe mguuni mwake. Mumewe alimshauri kwenda hospitalini kufanya vipimo lakini vipimo havikuonyesha sababu ya wazi kwa dalili zake. Alichukua hatua ya imani na kujisajili kwenye mstari wa maombi ya wagonjwa ambapo Mtumishi wa Yesu alimuombea na alishuhudia mabadiliko ya miujiza. Mguu wake ulipona, na uvimbe ulipungua kabisa. Unaaposoma haya, na wewe pia upate uponyaji wa miujiza kwa jina la Yesu!